Friday, November 27, 2026

Nairobi 97.7 Western 89.3 Eldoret 92.3 Kitui 105.6 Taita 94.9 North Rift 84.7 Kibwezi 87.9

NTSA KULENGA KUSITISHA LESENI 300,000 KWA KASI YA GARI

Mamlaka ya Usafiri na Usalama Barabarani, NTSA, inapanga kusitisha leseni za udereva zisizopungua elfu 300 ndani ya siku saba kutokana na ukiukaji wa sheria za mwendo kasi, katika juhudi za kuimarisha usalama barabarani kuelekea msimu wa sikukuu.

Hatua hiyo inalenga kudhibiti madereva wanaokiuka viwango vya mwendo kasi wakati idadi ya wasafiri inapoongezeka kuelekea mwisho wa mwaka, huku mamlaka hiyo ikiongeza operesheni za kuhakikisha usalama barabarani,.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *