MBUNGE KITUR APUNGUZA UZITO WA KISA CHA SIMU KUIBWA BUNGENI
Mbunge wa Nandi Hills Bernard Kitur amepuuza mjadala ulioibuka upya kuhusu kuibwa kwa simu ya mbunge ndani ya Bunge la Kitaifa, akisema tukio hilo limepewa uzito kupita kiasi.
Akizungumza kwenye mahojiano na kituo kimoja nchini, Kitur amesema tukio hilo lilitokea muda uliopita na halipaswi kuathiri uhusiano na ushirikiano miongoni mwa wabunge.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

