RAIS ATIA SAINI MISWADA SITA NA KUIFANYA SHERIA
Rais William Ruto ametia saini miswada sita na kuifanya kuwa sheria mpya, katika hatua inayolenga kuimarisha mifumo ya kisheria nchini.
Miongoni mwa miswada hiyo ni Miswada ya Makosa ya Kingono ya mwaka 2023 na 2025, inayohusu masuala ya makosa ya kingono,marekebisho ya benki ya maendeleo ya afrika mashariki ya 2026,mswada wa taasisi ya wanataaluma wa mazingira ya kenya ya 2024 pamoja na mikswada mingine
Kusainiwa kwa miswada hiyo kunakamilisha hatua ya kisheria ya kuipitisha na kuiwezesha kuanza kutekelezwa kwa mujibu wa masharti yake.
Imetayarishwa na Jesca Angeyo

