Monday, October 5, 2026

Nairobi 97.7 Western 89.3 Eldoret 92.3 Kitui 105.6 Taita 94.9 North Rift 84.7 Kibwezi 87.9

UPINZANI: BADO HATUJACHAGUA MGOMBEA URAIS

Muungano wa Upinzani umesisitiza kuwa bado haujaweka mfumo wa pamoja wa kumteua mgombea wake wa urais kuelekea uchaguzi wa mwaka 2027.

Viongozi wa muungano huo wamekanusha madai kuwa tayari wamemteua mgombea, wakidai taarifa hizo ni njama za kuwagawa viongozi wa upinzani.

Aidha, wamesema wataendelea na mashauriano na makundi mengine ya kisiasa, ikiwemo Linda Mwananchi, kabla ya kutangaza mgombea mmoja wa urais.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *