Thursday, July 30, 2026

Nairobi 97.7 Western 89.3 Eldoret 92.3 Kitui 105.6 Taita 94.9 North Rift 84.7 Kibwezi 87.9

RAIS RUTO ATIA SAINI KUWA SHERIA MISWADA YA KUIMARISHA SEKTA YA FEDHA

Rais William Ruto ametia saini kuwa sheria  miswada miwili inayolenga kuimarisha sekta ya fedha nchini  na kufanya marekebisho mfumo wa malipo ya kustahafu  ya wabunge ili kuendana na katiba na sheria za sasa.

Miswada iliyopitishwa inajumuisha marekebisho ya sheria ya benki kuu CBK na sheria ya marekebisho ya  malipo ya kustahafu ya wabunge ambayo imeidhinishwa katika hafla iliyofanyika kwenye ikulu na kuudhuriwa na viongozi wa serikali pamoja na wabunge.

Kupitia sheria mpya CBK itaendelea kuwa na mamlaka ya kutoa msaada wa kifadha kwa taasisi  za kifedha zinazokumbwa na changamoto  kwa muda.

Samueli Mulu ni karani wa bunge La kitaifa.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *