KAKAMEGA HIGH MABINGWA MAGHARIBI KWA KUWASHINDA MUSINGU
Katika Mchuano mwingine wa kukata na shoka Shule ya Upili ya Kakamega almaarufu Green Commandoes Waliwashinda Mahasimu wao wa Jadi Musingu Scorpion kwa mabao 2-o katika uwanja wa Masinde Muliro kaunti ya Bungoma
Baada ya Kutoka Sare katika muda wa Kawaida Kakamega walisajili ushindi kwa kufunga mabao mawili katika dakika za lala salama katika muda wa ziada na kutawazwa mabingwa wa mkoa wa magharibi.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

