Thursday, July 30, 2026

Nairobi 97.7 Western 89.3 Eldoret 92.3 Kitui 105.6 Taita 94.9 North Rift 84.7 Kibwezi 87.9

KOMBE LA DUNIA: ARGENTINA YAPINDUA MISRI NA KUFUZU ROBO FAINALI

Argentina imefuzu kwa robo fainali ya Kombe la Dunia baada ya kutoka nyuma kwa mabao mawili na kuichapa Misri 3-2 katika mchezo wa hatua ya 16 bora.

Licha ya Lionel Messi kukosa penalti na Misri kutangulia mabao kupitia Yasser Ibrahim na Mostafa Ziko, Argentina ilirejea kwa kishindo na kufunga mabao matatu katika dakika za mwisho za mchezo.

Ushindi huo umeihakikishia Argentina nafasi ya robo fainali na kuendeleza ndoto ya Messi ya kutwaa Kombe la Dunia kwa mara nyingine.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *