Friday, November 27, 2026

Nairobi 97.7 Western 89.3 Eldoret 92.3 Kitui 105.6 Taita 94.9 North Rift 84.7 Kibwezi 87.9

GACHAGUA AONYA UPINZANI DHIDI YA MIGAWANYIKO

Kiongozi wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, amedai baadhi ya vyama vya upinzani vinatumiwa na Rais William Ruto kuvuruga umoja wao kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027.

Akizungumza katika ziara yake ya kwanza ya kisiasa tangu kurejea kutoka Marekani, Gachagua ametilia shaka uaminifu wa baadhi ya vyama ndani ya upinzani.

Amewataka viongozi wa upinzani kuungana na kuweka tofauti zao kando ili kujiandaa kwa uchaguzi ujao.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *