Monday, October 5, 2026

Nairobi 97.7 Western 89.3 Eldoret 92.3 Kitui 105.6 Taita 94.9 North Rift 84.7 Kibwezi 87.9

JAMES GAKUYA AWARAI VIONGOZI WA UPINZANI KUUNGA MKONO SENETA WA NAIROBI EDWIN SIFUNA

Mbunge wa Embakasi kaskazini James Gakuya amewarai viongozi wa upinzani kueka kando maslahi yao ya kibinafsi ili kumuunga mkono seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kama mgombea wao wa urais katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka wa 2027.

Akizungumza katika mahojiano ya runinga moja humu nchini Gakuya amesema Sifuna ana ushawishi mkubwa kwa sasa na kwamba mvuto wake wa kisiasa una uwezo wa kuvutia uungwaji mkono kutoka maeneo tofauti ya kenya.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *