Monday, October 5, 2026

Nairobi 97.7 Western 89.3 Eldoret 92.3 Kitui 105.6 Taita 94.9 North Rift 84.7 Kibwezi 87.9

SENEGAL YAMFUTA KOCHA PAPE THIAW

Shirikisho la Soka la Senegal limemfuta kazi kocha Pape Thiaw kufuatia kutolewa kwa timu hiyo katika hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia la mwaka 2026.

Thiaw, aliyekuwa akiinoa Senegal tangu Desemba 2024, alishuhudia timu yake ikitolewa na Ubelgiji baada ya kupoteza mabao mawili ya uongozi na kufungwa 3-2 baada ya muda wa nyongeza.

Hatua hiyo imejiri huku kiungo Pape Gueye akitangaza kuwa atasitisha kwa muda kuchezea timu ya taifa ya Senegal baada ya kutoridhishwa na hali ilivyo ndani ya kikosi.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *