Thursday, July 30, 2026

Nairobi 97.7 Western 89.3 Eldoret 92.3 Kitui 105.6 Taita 94.9 North Rift 84.7 Kibwezi 87.9

CHAMA CHA UDA CHA ONGOZA KULINGA NA UTAFITI WA INFOR TRAK

Chama cha (UDA) kinachoongozwa na Rais William Ruto kimeibuka kuwa chama kinachoongoza kwa umaarufu nchini, kwa mujibu wa utafiti mpya wa maoni uliofanywa na Infotrak

Matokeo ya utafiti huo yanaonyesha kuwa UDA kinaungwa mkono na asilimia 22 ya Wakenya, kikifuatiwa kwa karibu na Orange Democratic Movement (ODM) chenye asilimia 21.

Utafiti huo pia umebaini kuwa (DCP) imeibuka kwa kasi na kuwa chama cha tatu kwa umaarufu nchini kwa kupata asilimia tisa ya uungwaji mkono huku Jubileeimeshikashika nafasi ya nne kwa asilimia sita, huku Wiper ikifuatia kwa asilimia tano ya uungwaji mkono.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *