Wednesday, July 29, 2026

Nairobi 97.7 Western 89.3 Eldoret 92.3 Kitui 105.6 Taita 94.9 North Rift 84.7 Kibwezi 87.9

ENGLAND YAIONDOA MEXICO KWENYE KOMBE LA DUNIA

Uingereeza imefuzu robo fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mexico katika mechi ya kusisimua iliyochezwa kwenye Uwanja wa Estadio Azteca.

Kiungo Jude Bellingham aliipa Uingereeza mwanzo mzuri kwa kufunga mabao mawili ndani ya sekunde 98 na kuiweka timu yake mbele kwa mabao 2-0 kabla ya mapumziko.

Licha ya kucheza na wachezaji 10 kwa sehemu ya mchezo na Mexico kupambana hadi mwisho, Uingereeza ilishikilia ushindi huo na kutinga hatua ya robo fainali.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *